Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi, 28, 2022 amerejea nchini akitoka Aqaba nchini Jordan alikomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo ya jirani (Aqaba Process). Pichani, Mheshimiwa Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Wa tano kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi, 28, 2022 amerejea nchini akitoka Aqaba nchini Jordan alikomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo ya jirani (Aqaba Process). Pichani, Mheshimiwa Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa (kulia) wakizungumza na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam 
Share To:

Post A Comment: