Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Mawasiliano Halotel Sakina Makabu akiongea na waandishi wa habari leo katika shule ya Sekondari Kisarawe II iliyoko wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam katika tukio la kukabidhia vifaa mbali mbali vya ujenzi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vyoo kwenye Bweni la Wasichana kidato cha tano na sita lililoko katika shule hiyo ikiwa ni moja ya msaada kutoka kampuni ya simu ya Halotel katika kuendena na kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.



Mkuu wa Shule ya Kisarawe II Bw. Florentin Assenga, akiongea na waandishi wa habari leo katika shule ya Sekondari Kisarawe II iliyoko wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam kuishukuru Kampuni ya simu Halotel kwa msaada iliyotoa katika tukio la kukabidhiwa vifaa mbali mbali vya ujenzi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vyoo kwenye Bweni la Wasichana kidato cha tano na sita ikiwa ni moja ya msaada kutoka kampuni hiyo katika kuendena na kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani..



Afisa Tawala ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Bi. Pendo Mahalu akiongea na waandishi wa habari leo katika shule ya Sekondari Kisarawe II iliyoko katika Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuishukuru Kampuni ya simu Halotel kwa msaada iliyotoa katika tukio la kukabidhi vifaa mbali mbali vya ujenzi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vyoo kwenye Bweni la Wasichana kidato cha tano na sita ikiwa ni moja ya msaada kutoka Kampuni hiyo katika kuendena na kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.



Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Kigamboni Bi.Yasinta Kayoza akiongea na waandishi wa habari leo katika shule ya Sekondari Kisarawe II iliyoko katika Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuishukuru Kampuni ya simu Halotel kwa msaada iliyotoa katika tukio la kukabidhi vifaa mbali mbali vya ujenzi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vyoo kwenye Bweni la Wasichana kidato cha tano na sita ikiwa ni moja ya msaada kutoka Kampuni hiyo katika kuendena na kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.



Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Mawasiliano Halotel Sakina Makabu (katikati kushoto) na Afisa Mahusiano Stella Pius (wa tatu kulia) wakikabidhi moja ya vifaa kwa Mkuu wa shule ya sekondari Kisarawe II Bw. Florentin Assenga kama ishara ya vifaa mbali mbali vya ujenzi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vyoo kwenye Bweni la Wasichana kidato cha tano na ikiwa ni moja ya msaada kutoka kampuni hiyo. Wakiwa pamoja nao Afisa Tawala ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Bi. Pendo Mahalu (katikati), Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Kigamboni Bi.Yasinta Kayoza (wa nne kushoto), Mwalimu na baadhi ya wanafunzi wa kifdato cha tano



Moja ya wananfunzi wa shule ya Sekondari Kisarawe II iliyoko Wilaya ya Kigamboni akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, kuishukuru Kampuni ya simu Halotel kwa msaada iliyotoa katika tukio la kukabidhi vifaa mbali mbali vya ujenzi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vyoo kwenye Bweni la Wasichana kidato cha tano na sita ikiwa ni moja ya msaada kutoka Kampuni hiyo katika kuendena na kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.

Share To:

Post A Comment: