AJALI MBEYA YAUA 5 MBEYA HACKER on March 28, 2022 TANZIA, Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne wakijeruhiwa baada ya lori la mizigo kufeli breki mteremko wa Mbalizi mkoani Mbeya Kwa kuyagonga magari madogo matatu na Bajaji pamoja na watembea Kwa miguu eneo hilo Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post HACKER View Profile
Post A Comment: