Saturday, 13 November 2021

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUJENGA JENGO LA GOROFA TANO MTUMBA

Wizara ya Maliasili na Utalii imesaini mkataba na  Kampuni ya Lil Jun Development Construction Company Limited ya ujenzi wa jengo la Wizara hiyo Mkoani Dodoma katika Mji wa kiserikali wa Mtumba ambapo jengo hilo litakuwa na ghorofa tano.


Mkataba huo wa ujenzi wa jengo hilo ulitiwa saini  na Katibu Mkuu wa wizara ya Maliasili na Utalii Dkt Allan Kijazi sambamba na Mkurugenzi wa kampuni hiyo Xu li Jun


No comments:

Post a Comment