Saturday, 2 October 2021

USAJILI NA UTOAJI VIBALI VYA UENDESHAJI KWA MAGARI YANAYOTOA HUDUMA YA MAJITAKA DAR WAANZAMaafisa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wakibandika stika ya usajili wa magari yanayotoa huduma ya majitaka baada ya kumaliza zoezi hilo  litakalodumu kwa muda wa siku 14 kuanzia Oktoba 1 hadi 16 mwaka huu

Afisa Biashara wa Mabwawa ya Majitaka DAWASA Mwajuma Hamza (katikati) akiendelea na zoezi la usajili kwa wamiliki wa magari yanayotoa huduma ya majitaka linaloendeshwa na Mamlaka hiyo lililoanza Oktoba 1 mwaka huu na litadumu kwa muda wa siku 14.
Afisa wa  DAWASA akimkabidhi stika mmoja wa wamiliki wa magari ya majitaka baada ya kumaliza zoezi la Usajili wa magari hayo linaloendeshwa kwa siku 14  katika eneo la VingungutiA

No comments:

Post a Comment