Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson, ameungana na baadhi ya Wananchi pamoja na Viongozi wa Kiserikali katika tukio la kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Benson Mpesya aliyefariki Dunia Octoba 23, 2021.


Miongoni mwa walioshiriki pia tukio hilo ni Mbunge wa Jimbo hilo aliyemaliza muda wake Joseph Mbilinyi maarufu kama SUGU, Mpyesya ameagwa na kuzikwa nyumbani kwake Kata ya Iganzo Jijini humo.

Share To:

Post A Comment: