Saturday, 16 October 2021

RAIS SAMIA AFUNGUA BARABARA SANYAJUU- ELERAI YENYE UREFU WA KM 32.2

 

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kufungua rasmi barabara ya Sanyajuu- Elerai KM 32.2 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika, barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Bomang’ombe-Sanyajuu- Elerai-Kamwanga yenye urefu wa KM 98.2.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia mara baada ya kukata utepe kuashiria kufungua rasmi barabara ya Sanyajuu- Elerai KM 32.2 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika, barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Bomang’ombe-Sanyajuu- Elerai-Kamwanga yenye urefu wa KM 98.2
Muonekano wa barabara ya Sanyajuu- Elerai KM 32.2 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika na kufunguliwa rasmi.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akisalimiana na Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Malongo wakati wa ufunguzi wa barabara ya Sanyajuu- Elerai KM 32.2 Mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment