Mbunge
wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa
ajili ya kuitikia wito wa Mhe. Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele
ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha
hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma,
Agosti 24, 2021
Mbunge
wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (katikati) akisindikizwa na Maaskari wa
Bunge wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia
wito wa Mhe. Spika Job Ndugai wa kufika mbele ya Kamati ya kudumu ya
Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbalimbali
zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge
leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021
Mbunge
wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akipita kwenye mashine kwa ajili ya
ukaguzi wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya
kuitikia wito wa Mhe. Spika Job Ndugai ya kufika mbele ya Kamati ya
kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma
mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na
heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24,
2021
Mwenyekiti
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge,
Emmanuel Mwakasaka akiongoza mahojiano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga,
Jerry Slaa aliefika mbele ya kamati hiyo akiitikia wito wa Spika Job
Ndugai wakumtaka kufika mbele ya kamati kujibu tuhuma mbalimbali
zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge
leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021
Mbunge
wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akiingia kwenye kamati ya kudumu ya
Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge na vitendea kazi vyake
wakati akiitikia wito wa Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele ya
kamati hiyo kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo
na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini
Dodoma, Agosti 24, 2021
Mbunge
wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (katikati) akiwa mbele ya kamati ya
kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge akiitikia wito wa
Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma
mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na
heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24,
2021. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post A Comment: