Monday, 12 July 2021

ZIARA YA SHAKA WILAYANI RUNGWE

 

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akikagua ubora wa madawati alipotembelea mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi katika Shule ya Msingi Goje iliyopo Wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 11, 2021

:Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akipokelewa Kichama tayari kukagua mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi katika Shule ya Msingi Goje iliyopo Wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 11, 2021.(Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Wajasiriamali Wanawake wanaojishughulisha na biashara ya kuuza ndizi katika soko la Lembuka Tandale, Kiwira Wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 11, 2021.(Picha na CCM Makao Makuu)

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Uongozi wa Shule, CCM pamoja na Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi katika Shule ya Msingi Goje iliyopo Wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 11, 2021.(Picha na CCM Makao Makuu)

 

No comments:

Post a Comment