Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo amesimikwa na Wazee wa Kimila wa Wilaya Momba mkoani Songwe na kupewa jina la Mlondwa mara baada ya kupokea taarifa za Serikali na Chama. Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa wamewasili  mkoani Songwe kwa ziara ya siku mbili leo Julai 9, 2021 (Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Serikali wa mkoa wa Songwe mara baada ya kuwasili mkoani humo.Katibu  Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa wamewasili  mkoani Songwe leo Julai 9, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu)


Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: