Monday, 8 March 2021

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YASHIRIKI KILELE CHA MAANDISHI YA SIKU YA WANAWAKE DUNUNIA WILAYANI BAHI

 

 

Watumishi wa Wizara Maliasili na Utalii washiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika leo kimkoa katika Wilaya ya Bahi,jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi Wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakimsikiliza mgeni rasmi wakati Wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa wilayani Bahi, jijini Dodoma Watumishi Wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenye maandamano wakati Wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kilichofanyika kimkoa wilaya ya Bahi

No comments:

Post a Comment