Sunday, 21 March 2021

PICHA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akitoa Heshima Za Mwisho Kwa Hayati Dr Magufuli

 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitokwa na machozi wakati alipotoa heshima  za mwisho kwa mwili ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, Machi 20, 2021. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment