Friday, 26 February 2021

Naibu Waziri wa maji kuanza ziara Mkoani Geita Na Mwandishi wetu,Geita

NAIBU Waziri wa Maji,Mhandisi MaryPrisca Mahundi(MB) ameanza ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Miradi  ya maji Mkoani Geita.


Aidha Mhandisi ameahidi kuzifanyia kazi changamoto za upatikanaji wa maji katika mji wa Katoro, Mbongwe, na Bukombe.


Ameyasema hayo leo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel alipofika ofisini kwake kupata taarifa ya hali ya upatikanaji wa maji mkoani humo.


Mwisho.

No comments:

Post a Comment