Wednesday, 14 October 2020

UVCCM KILIMANJARO WAMUENZI NYERERE
Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kilimanjaro Leo Umeadhimisha Kumbukumbu ya Muhasisi Wa Taifa Hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Kwa Kufanya Matembezi Ya Amani Ndani ya Jimbo la Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro.


Aidha Katika Matambezi Hayo Yaliyojumuisha Vijana Mbalimbali Yakiwa Na Ujumbe wa Kuhamasisha Wana Kilimanjaro Kujitokeza Kupiga Kura Tarehe 28.10.2020 sambamba na Kuichagua CCM Madiwani Wote wa Kata 169 , Wabunge Wote 9 Pamoja Kura Za Heshima Kwa Jemedari Wetu na Mgombea Urais Kupitia CCM Ndugu Dr John Pombe Joseph Magufuli.


```"Chama Cha Mapinduzi Kimeendelea Kuwa Chama Cha Ukombozi Kihistoria Na Kinaendelea hivyo Kikiwa Bado Kipo Madarakani"``` Mwl Julius Kambalage Nyerere.Imetolewa na

Uvccm Mkoa Wa Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment