Sunday, 20 September 2020

TUME YA MADINI YAENDELEA KUFANYA VIZURI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA


Ikiwa ni siku ya nne tangu kuanza kwa Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji cha Bomba Mbili Geita Mjini, leo tarehe 20 Septemba, 2020 wananchi wengi wa mkoa wa Geita na mikoa jirani wameendelea kupata elimu kuhusu Sekta ya Madini.

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali

No comments:

Post a comment