Monday, 6 July 2020

LIVE: Rais Magufuli anawaapisha Wakuu wa Mikoa na Ma-DC IIkulu

Leo July 6,2020 Rais Magufuli anatarajia kuwaapisha viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya aliowateua hivi karibuni, baadhi ya viongozi ni Thobias Andengenye aliyeteuliwa kuwa RC wa Kigoma.

No comments:

Post a Comment