Tuesday, 14 July 2020

KAIRUKI ACHUKUA FOMU JIMBO LA SAME MAGHARIBI


Waziri wa Uwekezaji Angela Jasmine Kairuki amechukua  fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same bibi Victoria Mahembe.

No comments:

Post a comment