Friday, 12 June 2020

Mkutano wa wakuu wa Takwimu wa Nchi za SADC wafanyika Jijini Dar es Salaam, kwa njia ya video.


Mtakwimu  Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa wa wajumbe kutoka NBS, akiongoza kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi wanachama wa Jumuiya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kilichojadili kuhusu itifaki ya takwimu za nchi hizo, kikao hicho kilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.
Wajumbe wa Kikao cha Takwimu cha nchi za SADC  kutoka Tanzania wakiongozwa na Mtakwimu  Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa( wa kwanza kulia), wakiwa katika kikao hicho kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.. 


No comments:

Post a Comment