Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu uandishi wa taarifa kwa umma wakati wa mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo wakati wa mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.
Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali na taasisi zake wakijadiliana katika makundi mara baada ya kusikiliza mada toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati wa siku ya pili ya mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.
Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali na taasisi zake wakijadiliana katika makundi mara baada ya kusikiliza mada toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: