Friday, 16 August 2019

WAFANYABIASHARA TANZANIA, AFRIKA KUSINI WAKUTA NA MARAIS WA NCHI ZAO.


Rais Dkt. John Magufuli akihotubia mbele ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa katika mkutano baina ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Ujumbe wa Wafanyabiashara toka Afrika kusini uliofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

 
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akihotubia mbele ya mwenyeji wake Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano baina ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Ujumbe wa Wafanyabiashara toka Afrika kusini uliofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

 
Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na Mawaziri wa Serikali ya Tanzania na Afrika kusini mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yaWafanyabiashara wa Tanzania na Ujumbe wa Wafanyabiashara toka Afrika kusini uliofanyi kakatika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

 
Dkt. Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakisalimiana mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yaWafanyabiashara wa Tanzania na Ujumbe wa Wafanyabiashara toka Afrika kusini uliofanyika katika kituo  cha Mikutano  cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a comment