Wednesday, 5 June 2019

MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MAGHARIBI ATIMIZA AHADI YAKE.Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi Mh Elibariki Kingu ametimiza ahadi yake ya kugawa vitanda vya wanafunzi katika Sekondari ya Puma ilioko katika kata ya Puma wilaya Ikungi mkoani Singida.
Akikabidhi vitanda hivyo kwa niamba ya Mh Mbunge,katibu wa mbunge ndugu Abubakari Muna.

Kwa niaba ya shule ya sekondari ya Puma mkuu wa shule ndugu Jumanne Mavere , amemshukuru sana mbunge kwa jitihada anazofanya kuweza kutatua matatizo ya wanafunzi wanaotembea kwa umbali mrefu" alisema tunamshukuru sana mwambie asituchoke maana tuliomba simenti za hostel alitupa zaid ya mifuko 100. Tuseme nn sisi ni wanawe tutaendelea kumsumbua na tunamuombea kwa Allah amzidishie panapo pungua."No comments:

Post a Comment