Rais Magufuli Amtumbua Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makala - MSUMBA NEWS BLOG

Tuesday, 14 May 2019

Rais Magufuli Amtumbua Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makala

Rais Magufuli amempandisha hadhi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Juma Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi kuanzia  jana  Mei 14,2019.

Uteuzi huo wa Homera umetokana na uamuzi wa wa Rais kumpumzisha aliyekuwa mkuu wa mkoa huo, Amos Makala.

Taarifa iliyotolewa na mkurugenzi wa kurugenzi ya mawasiliano ikulu, Gerson Msigwa inasema “uteuzi wa mkuu wa Wilaya ya Tunduru utafanywa baadaye.”Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done