Saturday, 11 May 2019

Picha: Waziri Lugola akutana na Rais wa Kampuni ya Iris ya nchini MalaysiaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amekutana na Rais wa Kampuni ya Iris ya nchini Malaysia, wakubaliana kuongeza kasi uzalishaji vitambulisho vya Taifa nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Kampuni ya Iris Corporation Berhard ya nchini Malaysia, Dato’ Paul Poh, mara baada ya kumaliza Kikao chao kilichoshirikisha Menejimenti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa na viongozi mbalimbali wa Kampuni hiyo, katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma


No comments:

Post a Comment