Saturday, 11 May 2019

Picha: Kikosi cha zimamoto Kagera chatoa Elimu juu ya majanga ya moto kwa wanahabari
Na Clavery Christian Bukoba.

Jeshi la polisi kikosi cha zimamoto Mkoa Kagera kimetoa Elimu kwa waandishi wa habari, madereva, na walimu juu ya kujikinga na majanga ya moto katika maeneo mbalimbali kwenye majukumu yao na kuwaonyesha Vifaa vya kuzimia moto pamoja na matumizi yake.

Akizungmza katika maonesho hayo Mrakibu msaidizi Thomas Majuto alisema kuwa wameamua kufanya hivyo kutokana na watu wengi kuonekana hawana Elimu juu ya umuhimu wa Vifaa vya kuzimia moto katika maeneo yao ya Nazi na majumbani kwao.
No comments:

Post a Comment