Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Angela Kairuki Bungeni jijini Dodoma Mei 8.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama Bungeni jijini Dodoma Mei 8.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba,  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 8.2019, katikati ni Mbunge wa Mbozi Magharibi, David Silinde.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge David Silinde (kushoto) wa Mbozi Magharibi na Peter Serukamba (katikati) wa Kigoma Kaskazini, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 8.2019, katikati ni,.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akizungumza Bungeni jijini Dodoma Mei 8.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share To:

Post A Comment: