Friday, 12 April 2019

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA TAASISI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINIWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongea na wawakilishi kutoka taasisi mbalimbali ambao kwa pamoja wanaunda kikosi kazi cha kusimamia utekelezaji wakatazo la mifukoyaplastikihapanchini. WajumbehaonikutokaBaraza la Taifa la HifadhinaUsimamiziwaMazingira (NEMC), MamlakayaMapato Tanzania, IdarayaUhamiaji, MamlakayaViwanjavyaNdege, Shirika la Viwango Tanzania, MamlakayaChakulanaDawa, Jeshi la Polisi,OfisiyaMkemiaMkuuwaSerikalinaOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaa. KikaohichokimefanyikahiileokatikaUkumbiwa Chuo cha Mipango – Dodoma.


Sehemuyawajumbewanaoundakikosikazi cha kusimamiautekelezajiwakatazo la mifukoyaplastikihapanchiniwakimsikilizaWaziri waNchiOfisiyaMakamuwaRaisMuunganonaMazingiraMhe. January Makamba (Hayupopichani)wakatiwakikaokazikilichofanyikahiileokatikaUkumbiwa Chuo cha Mipango.

No comments:

Post a comment