Friday, 19 April 2019

TAZAMA HAJI MANARA AKIPATA CHAKULA KWENYE MGAHAWA WA STARCOM MKWAKWANI TANGA

 AFISA Habari wa Simba Haji Manara kulia akipata chakula kwenye mgahawa wa Starcom uliopo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga ambalo unamilikiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Tanga kushoto mmiliki wa mgahawa huo Sadiq Shedafa maarufu Jngata

AFISA Habari wa Simba Haji Manara katika akiteta jambo na Meneja wa uwanja wa CCM mkwakwani mjini Tanga mara baada ya kupata chakula kwenye mgahawa wa Starcom uliopo uwanja ni humo kushoto ni mmiliki wa mgahawa huo ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Tanga Sadiq Jngata

No comments:

Post a Comment