Mkurugenzi wa Muungwana Blog, Rashid Maliki ametimiza ndoto yake ya muda mrefu baada ya kuuwaga ukapera ambapo amefunga ndoa na kipenzi chake Bi. Habiba Nasoro.

Ndoa hiyo imefugwa leo Aprili 25 mwaka 2019 katika Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora.










Share To:

msumbanews

Post A Comment: