Tuesday, 12 March 2019

SOKO LA TOI LA WAKA MOTO NAIROBISoko la Toi mjini Nairobi limeteketea kwa moto alfajiri ya Leo Machi 12 na kuteketeza mali ya thamani isiyojulikana.

Inasemekana kuwa moto huo uliwaka takribani mwendo wa saa Tisa (9) kutokana na kikosi cha zimamoto kushindwa kufika kwa wakati.

Soko la Toi ni maarufu na linafahamika kwa uuzaji wa bidhaa kukuu zikiwemo nguo za mtumba, lakini pia bidhaa nyingine kama mbao na vifaa vya elektroniki.

No comments:

Post a Comment