Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa  leo Jijini Dodoma amekutana na Makatibu Tawala wa Mikoa -Bara pamoja na wataalamu wa Wizara ya Maji na Ofisi ya Rais TAMISEMI kujadili Wakala ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) pamoja na huduma ya maji nchini kwa ujumla.
Share To:

Post A Comment: