Wednesday, 27 March 2019

Picha: Waziri Lugola awaongoza Watendaji Wakuu wa Wizara yake

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaongoza Watendaji Wakuu wa Wizara yake katika kikao cha Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, jijini Dodoma leo.No comments:

Post a comment