Mama Maria Nyerere na akiwa na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Mama Napono Sokoine aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam, jana. Wengine katika picha (kutoka kushoto) ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalumu, Namelok Sokoine, Elysia Sokoine; na Ninai Sokoine. Mbuzi anayeonekana ni zawadi ya Mama Sokione aliyopelekea Mama Maria.
Share To:

Post A Comment: