Thursday, 21 March 2019

Jeshi la Magereza Lakanusha taarifa za kifo cha mahabusu James Rugemarila, anayetuhumiwa kwa shitaka la kuhujumu uchumi

Jeshi la Magereza nchini limekanusha taarifa za kifo cha mahabusu, James Rugemarila mwenye mashitaka ya uhujumu uchumi, na kusema kwamba yuko salama kabisa.

Afisa Habari wa Magereza, Lucas Mboje, amesema kwamba taarifa za kifo chake ni za uzushi, na kwamba Rugemarila yuko mzima.

A

No comments:

Post a comment