Wednesday, 6 March 2019

Clouds Media wapata ajali wakitokea msibani kwa Ruge


Timu ya production ya Clouds Media Group iliyokuwa ikitokea msibani Bukoba kurejea jijini Dar es Salaam imepata ajali ya gari maeneo ya nje kidogo ya Dodoma, hata hivyo hakuna aliyepata madhara makubwa kutokana na ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment