Friday, 19 October 2018

Ngome ya Zitto yazidi kutikiswa Diwani mwingine wa ACT Wazalendo Atimkia Ccm

Diwani wa Kata ya Sale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Jeremiah Sagoyani amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya ACT na kujiunga na  Chama cha Mapinduzi  CCM kwa kile alichosema kuwa anaunga mkono utendaji kazi wa Rais  Magufuli.

No comments:

Post a comment