Thursday, 27 September 2018

Soko La Mlango Mmoja Jijini Mwanza Linateketea kwa Moto

Soko la Mlango Mmoja jijini Mwanza linateketea kwa moto muda huu na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Chanzo cha moto huo bado hakujajulikana 
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: