Diwani Mwingine CHADEMA Kajiuzulu Leo na Kuhamia CCM - MSUMBA NEWS BLOG

Wednesday, 15 August 2018

Diwani Mwingine CHADEMA Kajiuzulu Leo na Kuhamia CCM

Aliyekuwa Diwani wa kata ya Mambwenkoswe wilayani Kalambo, Kanowalia Siwale(CHADEMA) amejiuzulu na kujiunga na CCM

Siwale amedai kuwa sababu ya kujiuzulu ni kutokana na chama hicho kujaa migogoro ambayo haisaidii jamii na isiyoleta maendeleo kwa ujumla.

Amesema ameamua kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika juhudi za kuleta maendeleo.

Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done