Saturday, 7 July 2018

Ratiba ya maziko ya mtoto wa Muna "Patrick"


Ratiba ya kuaga na maziko ya mwili wa mtoto Patrick wa muigizaji  Rose Alphonce ‘Muna Love’ na Patrick Peter Zacharia imetolewa.  Mwili wake utaagwa leo katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam na kuzikwa jioni katika makaburi ya Kinondoni.

Ratiba hiyo ni ifuatayo:

Jumamosi, Julai, 7, 2018.
Saa 2 Asubuhi, kuchukua mwili Aga Khan Hospital.

Saa 3 Asubuhi, familia kuaga mwili nyumbani Mwananyamala.

Saa 5 Asubuhi, Misa ya Kuaga Mwili, Viwanja vya Leaders.

Saa 9 Mchana, Ibada ya Maziko Makaburi ya Kinondoni

No comments:

Post a Comment