Sunday, 29 July 2018

Breaking : MAGARI YAGONGANA USO KWA USO ARUSHA USIKU HUU..

Watu wawili wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya Magari mawili yamegongana uso kwa uso usiku huu wa Jumapili Julai 29,2018 jijini Arusha.
Tutakuletea taarifa kamili hivi punde
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: