CCM YAMTEUA CHIZA KUWANIA UBUNGE BUYUNGU - MSUMBA NEWS BLOG

Tuesday, 10 July 2018

CCM YAMTEUA CHIZA KUWANIA UBUNGE BUYUNGU


Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi leo jijini Dar es Salaam kimemteua Ndg. Christopher Kajoro Chiza kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Buyungu kwa tiketi ya chama hicho.Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done