Mtangazaji maarufu wa TV, Zamaradi Mketema.

MTANGAZAJI maarufu wa televisheni, Zamaradi Mketema,  ambaye pia ni mdau mkubwa katika tasnia ya Bongo Movie,  ametangaza habari njema  usiku kuamkia leo baada ya kujifungua mtoto jana.
Huyo ni mtoto wa tatu kwa Zamaradi lakini wa kwanza kwa mumewe wa sasa aitwaye Shabani.
Ujumbe aliotoa kwenye ukurasa wake wa Instagram ni ufuatao:
Asante MUNGU kwa zawadi hii
Its a BOY Alhamdulillah!!πŸ˜ŠπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Share To:

msumbanews

Post A Comment: