Friday, 8 June 2018

Waziri Nchemba amsimamisha Kazi Merlin Komba


Waziri wa Mambo ya Ndani, Dr. Mwigulu Nchemba amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Usajili wa Jumuiya za Kidini na Vyama vya Kijamii, Merlin Komba.

Merlin amesimamishwa leo June 8, 2018 ili kupisha uchunguzi wa barua iliyoandikwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT).

No comments:

Post a Comment