Wednesday, 2 May 2018

Uvccm Arusha kujenga Wodi ya Wazazi Makiba


Katika Ziara ya UVCCM (W) Meru ndugu Saitoti Zelote Ameshiriki zoezi la kuotesha miti akishirikiana na UVCCM Meru na wananchi wa makiba.

Pia Mwenyekiti wa UVCCM (M) wa Arusha ametoa Ahadi ya kujenga Wodi ya Wagonjwa katika kituo cha afya Makiba akishirikiana na wadau mbalimbali  na taayari katika zoezi hilo tumepata ahadi ya Matofauli 1,000 na Mifuko 60 ya cement ujenzi wa wodi hiyo ya wagonjwa itanza mara moja baada ya WanaNchi wa kata ya makiba kukamilisha zoezi la kukusanya mawe na kuchimba msingi.

No comments:

Post a Comment