Tuesday, 29 May 2018

Tazama LIVE kuagwa kwa Mbunge Bilago jijini Dodoma

Leo Mei 29,2018 Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanamuaga Mbunge wa Bayungu, Kasuku Bilago katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

No comments:

Post a comment