Friday, 4 May 2018

Profesa Jay amuomba Rais Magufuli Bilioni mbili


Mbunge wa Mikumi kupitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay amemuomba Rais Magufuli amsadie shilingi bilioni mbili ili kukamilisha mradi mkubwa wa maji uliopo katika Kata ya Ruaha.

Akiongea mbele ya Rais Magufuli leo Mei 04, 2018 mkoani Morogoro katika uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kidatu – Ifakara, Professor Jay ameeleza changamoto nyingi zinalolikabili jimbo lake ikiwemo uboreshaji wa miundombinu
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: