Thursday, 24 May 2018

January Makamba aandaa mjadala wa Kitaifa kuhusu nafasi ya Dini


Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba ameandaa mjadala wa Kitaifa kuhusu nafasi ya Dini na uhifadhi wa mazingira utaohusisha Viongozi wa Dini, Wananchi na Viongozi wa Serikali.

“Itakuwa ni mjadala wa Kitaifa kuhusu nafasi ya Dini na uhifadhi wa mazingira, tumealika Maaskofu wa dini zote, Waislam pia, sisi tunaamini Watanzania wote tunamuamini Mungu ndo mana tumeona tuwatumie Viongozi wa dini kuelimisha” amesema January Makamba

No comments:

Post a comment