WAEPHIOPIA WA TANO WAFUNGWA MIAKA MITATU – RUVUMA

Inspector Ambinga Swai Mkuu wa kitengo cha BMC idara ya uhamiaji Ruvuma

Idara ya Uhamiaji mkoa wa Ruvuma imewakamata raia wa tano wa Ethiopia wakiwa na hati za kugushi za kusafiria kutoka nchi ya Kenya , Raia hao walikuwa wakielekea Afrika kusini kupitia mpaka wa Mkenda mkoani Ruvuma. Habari zaidi hii hapa video yake.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: