Thursday, 26 April 2018

Viongozi mbalimbali wajitokeza fainali za Muungano Cup Arusha

Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini  Mh: Fabian Daqarro Akiteta jambo na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athumani Kihamia wakati mechi ya Fainali ya Muungano Cup kati ya Timu ya  Engutoto na Ngarenaro.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ccm Saitoti Zelothe na Katibu Tawala wa Arusha Mjini David Mwakiposa wakifuatilia mtanange wa Fainali ya Muungano Cup kwa Makini.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Arusha Mjini Ndg. Godliving Kissila Akifuatilia mtanange huu.
Mwandishi maarufu wa habari za michezo Jijini Arusha Ally Shemdoe aliyeshikilia  kikombe cha uji akifuatilia  fainali  hii kwa makini.

No comments:

Post a Comment