Monday, 9 April 2018

Tuna Rais wa kanda ya ziwa au tuna Rais wa Tanzania? – Mbunge Lusinde


Baada ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kusema kuwa Waziri Mkuu ni mtu wa Kusini na mbunge mwingine kusema Rais ni wa Kanda ya Ziwa haiwezekani Kanda ya Ziwa kukosa maji, sasa Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amewajia juu wabunge hao kwa kusema hakuna Rais wa Kanda ya Ziwa wala waziri wa Kusini bali viongozi hao ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:

Post a comment