Thursday, 26 April 2018

Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3319

Rais Magufuli  katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319 ambapo wafungwa 585 wataachiwa huru leo, na 2,734 wamepunguziwa adhabu zao.

A

No comments:

Post a comment